Ufafanuzi msingi wa jeuri katika Kiswahili

: jeuri1jeuri2

jeuri1

nominoPlural jeuri

 • 1

  hali ya kutojali au ya kuwa na ufidhuli.

  ‘Fanya/Toa jeuri’
  tara, taraghani

Ufafanuzi msingi wa jeuri katika Kiswahili

: jeuri1jeuri2

jeuri2

kivumishi

 • 1

  -enye tabia ya kutojali au kukosa kutii; -enye kiburi.

  korofi, kaini, kasidi

Asili

Kar

Matamshi

jeuri

/ʄɛwuri/