Ufafanuzi wa jia katika Kiswahili

jia

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~iana, ~wa

  • 1

    fika ili kuonana na mtu.

    ‘Walimjia Ali kumhoji’

Matamshi

jia

/ʄija/