Ufafanuzi wa jiandaa katika Kiswahili

jiandaa

kitenzi sielekezi~lia

  • 1

    fanya maandalizi ya kufanya jambo.

Matamshi

jiandaa

/ʄijanda:/