Ufafanuzi wa jibari katika Kiswahili

jibari

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    kaa kando.

    jitenga

Matamshi

jibari

/ʄibari/