Ufafanuzi wa jibiza katika Kiswahili

jibiza

kitenzi elekezi~ana

  • 1

    sema ili kujibu jambo lililosemwa.

Matamshi

jibiza

/ʄibiza/