Ufafanuzi wa jibodoa katika Kiswahili

jibodoa

kitenzi sielekezi~lea, ~sha

  • 1

    jisifu, jigamba, jiona, jifutua, jifaragua, ringa, jivuna, jikita, jinadi

Matamshi

jibodoa

/ʄibɔdɔwa/