Ufafanuzi wa jicho katika Kiswahili

jicho

nominoPlural macho

 • 1

  kiungo cha mwili cha kuonea.

  ozi

 • 2

  pambo liwekwalo katika gubeti ya jahazi.

 • 3

  chipukizi la ua.

  tumba, fumbu

Matamshi

jicho

/ʄitʃɔ/