Ufafanuzi wa jidai katika Kiswahili

jidai

kitenzi sielekezi

  • 1

    onyesha majivuno.

    ‘Anajidai kwa kuwa ameshinda’

  • 2

    ‘Anajidai askari’
    jifanya

Matamshi

jidai

/Ę„idaji/