Ufafanuzi wa jidanganya katika Kiswahili

jidanganya

kitenzi sielekezi

  • 1

    tendea nafsi yako jambo lisilo la ukweli ili kukidhi haja fulani.

Matamshi

jidanganya

/ʄidangaɲa/