Ufafanuzi wa jifanya katika Kiswahili

jifanya

kitenzi sielekezi

  • 1

    jisingizia kuwa katika hali fulani.

    ‘Anajifanya mgonjwa’
    jidai

Matamshi

jifanya

/ʄifaɲa/