Ufafanuzi wa jifaragua katika Kiswahili

jifaragua

kitenzi sielekezi~lia

  • 1

    jifanya kufahamu mambo mengi.

  • 2

    ‘Si jambo jema kujifaragua mbele ya watu kuwa una mali nyingi’
    ringa, jinadi, jivuna, jikita, jinaki, jibodoa, jifutua, jigamba, jisifu, jishaua

Matamshi

jifaragua

/ʄifaraguwa/