Ufafanuzi wa jigamba katika Kiswahili

jigamba

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    jifanya unajua sana.

    jifutua, jisifu, jifaragua, jikita, jinadi, jibodoa, jivuna, jinaki

Matamshi

jigamba

/ʄigamba/