Ufafanuzi wa jigija katika Kiswahili

jigija

nomino

  • 1

    kitu chenye kuonyesha weusi; rangi nyeusi zaidi ya ile ya mdaa.

Matamshi

jigija

/ʄigiʄa/