Ufafanuzi wa jihadhari katika Kiswahili

jihadhari

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa mwangalifu.

Matamshi

jihadhari

/ʄihaðari/