Ufafanuzi wa jihusisha katika Kiswahili

jihusisha

kitenzi sielekezi

  • 1

    husiana na mtu au tabia fulani.

    ‘Vijana hawastahili kujihusisha na walevi na wavuta bangi’

Matamshi

jihusisha

/ʄihusi∫a/