Ufafanuzi wa jiji katika Kiswahili

jiji

nomino

  • 1

    mji mkubwa sana.

    ‘Jiji la Dar es Salaam, jiji la Nairobi’

Matamshi

jiji

/ʄiʄi/