Ufafanuzi wa jikalia katika Kiswahili

jikalia

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa bila kuwa na jambo la kufanya.

Matamshi

jikalia

/ʄikalija/