Ufafanuzi wa jikama katika Kiswahili

jikama

kitenzi sielekezi

  • 1

    jikamua mithili ya kuku anapotaga.

Matamshi

jikama

/ʄikama/