Ufafanuzi wa jiketua katika Kiswahili

jiketua

kitenzi sielekezi

  • 1

    jifanya kuwa na mambo usiyokuwa nayo.

Matamshi

jiketua

/ʄikɛtuwa/