Ufafanuzi wa jikongoja katika Kiswahili

jikongoja

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kwa shida kama mzee aendavyo.

  • 2

    enda kwa msaada wa mkongojo, bakora, fimbo au gongo.

Matamshi

jikongoja

/ʄikɔngɔʄa/