Ufafanuzi wa jilio katika Kiswahili

jilio

nomino

  • 1

    kitendo cha kufika pahali.

Matamshi

jilio

/ʄilijɔ/