Ufafanuzi msingi wa jimbi katika Kiswahili

: jimbi1jimbi2

jimbi1

nomino

Matamshi

jimbi

/ʄimbi/

Ufafanuzi msingi wa jimbi katika Kiswahili

: jimbi1jimbi2

jimbi2

nomino

  • 1

    mmea wa chakula kama muhogo au kiazi kikuu.

    myugwa, gimbi

  • 2

    zao la mmea huo.

    yugwa

Matamshi

jimbi

/ʄimbi/