Ufafanuzi wa jimu katika Kiswahili

jimu

nomino

  • 1

    mahali pa kufanyia mazoezi ya viungo au mwili, agh. kwa memba wanaolipa ada fulani.

Asili

Kng

Matamshi

jimu

/Ê„imu/