Ufafanuzi wa jina la kupanga katika Kiswahili

jina la kupanga

  • 1

    jina analopachikwa mtu kwa kuhusishwa na maumbile au tabia yake, agh. huwa la muda tu japokuwa linaweza likamkaa kama jina halisi.