Ufafanuzi wa jinai katika Kiswahili

jinai

nominoPlural jinai

  • 1

    kosa la uhalifu.

    ‘Mashtaka ya jinai’
    ‘Kesi ya jinai’

Asili

Kar

Matamshi

jinai

/ʄinaji/