Ufafanuzi wa jino katika Kiswahili

jino

nominoPlural meno

 • 1

  kipande kigumu cheupe kilicho kinywani mwa binadamu au mnyama kinachotumiwa kutafunia chakula au kukata vitu.

 • 2

  kitu kinachofanya kazi kama jino la mtu kinachotumika kwa kukatia, kutafunia au kushikilia vitu vingine.

 • 3

  ugonjwa wa meno au ufizi.

  ‘Ameshikwa na jino’

Matamshi

jino

/ʄinɔ/