Ufafanuzi wa jiografia katika Kiswahili

jiografia

nominoPlural jiografia

  • 1

    elimu ya mazingira ya dunia, maumbile yake, mgawanyiko wake kitaifa, hali ya hewa, idadi ya watu wake, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

jiografia

/ʄijɔgrafija/