Ufafanuzi wa jipendekeza katika Kiswahili

jipendekeza

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    kuwa na uhusiano wa kinafiki na mtu k.v. kumpa sifa za uongo au kumsaidia kazi kwa lengo la kupata upendeleo fulani.

    jikomba

  • 2

    jitolea sifa.

Matamshi

jipendekeza

/ʄipɛndɛkɛza/