Ufafanuzi wa jitahidi katika Kiswahili

jitahidi

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya jambo kwa bidii.

    biabia, kazana

Asili

Kar

Matamshi

jitahidi

/Ę„itahidi/