Ufafanuzi wa jitapa katika Kiswahili

jitapa

kitenzi sielekezi

  • 1

    jisifu kwa kujiona bora zaidi.

Matamshi

jitapa

/Ę„itapa/