Ufafanuzi wa jitolea katika Kiswahili

jitolea

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kazi bila kudai malipo.

  • 2

    saidia

Matamshi

jitolea

/ʄitɔlɛja/