Ufafanuzi wa jituma katika Kiswahili

jituma

kitenzi sielekezi

  • 1

    jitolea kwa hiari kufanya kazi fulani bila kuamrishwa.

Matamshi

jituma

/Ê„ituma/