Ufafanuzi wa jiuzulu katika Kiswahili

jiuzulu

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    acha kazi kwa hiari, agh. kwa kuandika barua yenye kueleza nia hiyo.

Matamshi

jiuzulu

/ʄiuzulu/