Ufafanuzi wa jiwe la kibiriti katika Kiswahili

jiwe la kibiriti

  • 1

    kipande cha baruti kinachotiwa katika kibiriti cha chuma ambacho kikisuguliwa huwakisha utambi.