Ufafanuzi wa jogoo katika Kiswahili

jogoo

nomino

  • 1

    kuku dume.

    jimbi, kikwara

  • 2

    shujaa, mshindi, hodari