Ufafanuzi wa joho katika Kiswahili

joho

nominoPlural majoho

  • 1

    vazi pana linalofanana na koti refu ambalo mbele liko wazi na agh. limenakshiwa au kushonwa kwa darizi katika sehemu ya shingoni na mbele.

Asili

Kar

Matamshi

joho

/ʄɔhɔ/