Ufafanuzi wa jongo katika Kiswahili

jongo

nomino

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba viungo vya mwili na miguu, hasa nyakati za mawingu ya mvua au baridi.

Matamshi

jongo

/ʄɔngɔ/