Ufafanuzi msingi wa jore katika Kiswahili

: jore1jore2

jore1

nominoPlural jore

  • 1

    ndege wa rangi ya samawati shingoni, mkubwa kwa kimo kuliko kore, mwenye mdomo mrefu, mnene na wa rangi ya kahawia.

Matamshi

jore

/ʄɔrɛ/

Ufafanuzi msingi wa jore katika Kiswahili

: jore1jore2

jore2

nominoPlural jore

  • 1

    mchezo wa karata.

Matamshi

jore

/ʄɔrɛ/