Ufafanuzi msingi wa joshi katika Kiswahili

: joshi1joshi2joshi3

joshi1

nominoPlural joshi

 • 1

  sehemu ya mbele ya chombo.

 • 2

  tanga la mbele la chombo.

Matamshi

joshi

/ʄɔ∫i/

Ufafanuzi msingi wa joshi katika Kiswahili

: joshi1joshi2joshi3

joshi2

nominoPlural joshi

 • 1

  mwendo wa chombo wa kufuata upepo wa katikati.

Asili

Kar

Matamshi

joshi

/ʄɔ∫i/

Ufafanuzi msingi wa joshi katika Kiswahili

: joshi1joshi2joshi3

joshi3

kielezi

 • 1

  kwa kasi.

Matamshi

joshi

/ʄɔ∫i/