Ufafanuzi msingi wa jozi katika Kiswahili

: jozi1jozi2

jozi1

nominoPlural jozi

 • 1

  vitu viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana.

  ‘Jozi ya viatu’
  pea

Matamshi

jozi

/ʄɔzi/

Ufafanuzi msingi wa jozi katika Kiswahili

: jozi1jozi2

jozi2

nominoPlural jozi

 • 1

  idadi maalumu ya karata za kuchezea.

  cheuzi

Asili

Kar

Matamshi

jozi

/ʄɔzi/