Ufafanuzi wa juakali katika Kiswahili

juakali

nominoPlural juakali

  • 1

    shughuli k.v. za gereji au kiwanda, zinazoendeshwa nje juani.

    ‘Viwanda au magereji ya juakali’

Matamshi

juakali

/ʄuwakali/