Ufafanuzi wa jubilii katika Kiswahili

jubilii, jubilei

nominoPlural jubilii

  • 1

    sherehe maalumu za kuadhimisha tukio muhimu katika maisha ya mtu, shirika, asasi, n.k. ambayo hufanywa kila baada ya kipindi fulani k.v. miaka 25, 50, 75 au 100 k.m. tangu kufunga ndoa au kuanzishwa shirika.

Asili

Kng

Matamshi

jubilii

/ʄubili:/