Ufafanuzi wa juburu katika Kiswahili

juburu

kitenzi elekezi

  • 1

    lazimisha mtu afanye jambo kwa nguvu wakati hataki au haliwezi; kalifisha mtu atende kitu.

    lazimisha

Asili

Kar

Matamshi

juburu

/Ę„uburu/