Ufafanuzi wa jugwe katika Kiswahili

jugwe

nominoPlural jugwe

  • 1

    mchezo wa kuvuta kamba wa timu k.v. za watu kumi na wawili kila upande.

    ‘Vuta jugwe’

Matamshi

jugwe

/ʄugwɛ/