Ufafanuzi wa juha katika Kiswahili

juha

nominoPlural majuha

  • 1

    mpungufu wa uwezo wa kufikiri na kuelewa mambo.

    mpumbavu, jura, fala, bwege, bozi, gulagula, baghami, nyange

Asili

Kar

Matamshi

juha

/ʄuha/