Ufafanuzi wa jukumu katika Kiswahili

jukumu

nominoPlural majukumu

  • 1

    dhima ya jambo lisilo la heri; madaraka ya shari; tendo la makosa.

    lawama, shutuma

  • 2

    wajibu, sharti, faradhi

Asili

Khi

Matamshi

jukumu

/ʄukumu/