Ufafanuzi wa julikana katika Kiswahili

julikana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fahamika, agh. kwa watu wengi.

    dhulu, fahamika

Matamshi

julikana

/ʄulikana/