Ufafanuzi wa Jumamosi katika Kiswahili

Jumamosi

nominoPlural Jumamosi

  • 1

    siku ya kwanza ya juma.

Matamshi

Jumamosi

/ʄumamɔsi/