Ufafanuzi wa jumba katika Kiswahili

jumba

nomino

  • 1

    jengo kubwa la kifahari ambamo agh. hukaa mkuu wa nchi au mfalme.

    ikulu

  • 2

    sehemu wanayokaa wadudu majimoto au koyokoyo.