Ufafanuzi wa jumbe katika Kiswahili

jumbe

nominoPlural majumbe

  • 1

    kiongozi wa jadi aliyekuwa anasimamia utawala wa vijiji kadhaa.

    mndewa

Asili

Kar

Matamshi

jumbe

/ʄumbɛ/